Ee Mungu Nguvu Yetu

Ee Mungu Nguvu Yetu
Alt TitleWimbo wa Taifa
Performed by-
CategoryAnthem
ComposerMzee Meza Moroa Galana
Views4,423

Ee Mungu Nguvu Yetu Lyrics

  1. Ee Mungu nguvu yetu, ilete baraka kwetu
    Haki iwe ngao na mlinzi, natukae na undugu
    Amani na uhuru, raha tupate na ustawi
  2. Amkeni ndugu zetu, tufanye sote bidii
    Nasi tujitoe kwa nguvu, nchi yetu ya Kenya
    Tunayoipenda, tuwe tayari kuilinda
  3. Natujenge taifa letu, ee, ndio wajibu wetu
    Kenya istahili heshima, tuungane mikono
    Pamoja kazini, kila siku tuwe na shukrani

OH GOD OF ALL CREATION

  1. O God of all creation, bless this our land and nation
    Justice be our shield and defender
    May we dwell in unity, peace and liberty
    Plenty be found within our borders
  2. Let one and all arise, with hearts both strong and true
    Service be our earnest endeavour
    And our homeland of Kenya, heritage of splendour
    Firm may we stand to defend.
  3. Let all with one accord, in common bond united
    Build this our nation together
    And the glory of Kenya, the fruit of our labour
    Fill every heart with thanksgiving.
Adapted from Pokomo Lullaby melody