Roho Yangu na Ikuimbie

Roho Yangu na Ikuimbie
Alt TitleBwana Mungu Nashangaa Kabisa
Performed bySauti Tamu Melodies
AlbumNyimbo za Sifa
CategoryTafakari
ComposerMr. Carl Gustaf Boberg
VideoWatch on YouTube
Views139,771

Roho Yangu na Ikuimbie Lyrics

  1. Bwana Mungu nashangaa kabisa,
    Nikifikiri jinsi ulivyo,
    Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
    Viumbavyo kwa uwezo wako.

    Roho yangu na ikuimbie,
    Jinsi wewe ulivyo mkuu,
    Roho yangu na ikuimbie,
    Jinsi wewe ulivyo mkuu.

  2. Nikitembea pote duniani,
    Ndege huimba nawasikia,
    Milima hupendeza macho sana,
    Upepo nao nafurahia.
  3. Nikikumbuka vile wewe Mungu,
    Ulivyompeleka mwanao,
    Afe azichukue dhambi zetu,
    Kuyatambua ni vigumu mno.
  4. Yesu Mwokozi atakaporudi,
    Kunichukua kwenda mbinguni,
    Nitaimba sifa zako milele,
    Wote wajue jinsi ulivyo.

HOW GREAT THOU ART

  1. O Lord my God, when I in awesome wonder,
    Consider all the worlds Thy hands have made
    I see the stars, I hear the rolling thunder,
    Thy power throughout the universe displayed.

    Then sings my soul, my Saviour God, to Thee,
    How great Thou art, how great Thou art.
    Then sings my soul, my Saviour God, to Thee,
    How great Thou art, how great Thou art!
  2. When through the woods, and forest glades I
    Wander and hear the birds sing sweetly in the trees
    When I look down, from lofty mountain grandeur
    And see the brook, and feel the gentle breeze
  3. And when I think, that God, His Son not sparing
    Sent Him to die, I scarce can take it in
    That on the Cross, my burden gladly bearing,
    He bled and died to take away my sin.
  4. When Christ shall come, with shout of acclamation
    And take me home, what joy shall fill my heart
    Then I shall bow, in humble adoration,
    And then proclaim My God, how great Thou art!
The Swahili version has been recorded by a handful of East African choirs and Gospel artists