Inueni Vichwa Vyenu
Inueni Vichwa Vyenu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Jumapili ya Matawi (Palm Sunday) |
Views | 1,997 |
Inueni Vichwa Vyenu Lyrics
- Inueni vichwa vyenu, chukueni matawi
kumlaki Bwana, kumlaki Bwana
Mfalme amepanda pundaNa sisi sote tuimbe,
Mfalme wa utukufu *3
mfa-a-a-a-alme Mfalme wa utukufu,
mfalme wa utukufu - Tandazeni nguo zenu. . .
- Inueni vichwa juu . . .
- Yapigeni na makofi .. .