Inueni Vichwa Vyenu

Inueni Vichwa Vyenu
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
ComposerF. A. Nyundo
Views4,651

Inueni Vichwa Vyenu Lyrics

  • Inueni vichwa vyenu enyi malango
    Inukeni enyi malango ya milele
    Mfalme wa utukufu apate kuingia
  • Ni nani huyu mfalme wa utukufu
    Bwana mwenye nguvu hodari
    Bwana hodari wa vita
    Ni nani huyu mfalme wa utukufu
    Bwana wa majeshi yeye ndiye Mfalme wa Utukufu