Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania | |
---|---|
Alt Title | Wimbo wa Taifa Tanzania |
Performed by | - |
Category | Anthem |
Composer | Enoch Sontonga |
Views | 11,683 |
Mungu Ibariki Tanzania Lyrics
- Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani,
Hizi ni ngao zetu, Afrika na watu wake
Ibariki Afrika, ibariki Afrika *2
Tubariki watoto wa Afrika - Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume na watoto
Mungu ibariki, Tanzania na watu wake
Ibariki Tanzania, ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania