Mungu Ibariki Tanzania

Mungu Ibariki Tanzania
Alt TitleWimbo wa Taifa Tanzania
Performed by-
CategoryAnthem
ComposerEnoch Sontonga
Views9,190

Mungu Ibariki Tanzania Lyrics

  1. Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake
    Hekima umoja na amani,
    Hizi ni ngao zetu, Afrika na watu wake
    Ibariki Afrika, ibariki Afrika *2
    Tubariki watoto wa Afrika
  2. Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja
    Wake kwa waume na watoto
    Mungu ibariki, Tanzania na watu wake
    Ibariki Tanzania, ibariki Tanzania
    Tubariki watoto wa Tanzania