Mtakatifu Paulo

Mtakatifu Paulo
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
CategoryWatakatifu
ComposerRenatus Rwelamira
Views4,707

Mtakatifu Paulo Lyrics

  1. { Mtakatifu Paulo, mtume somo wetu
    Msimamizi wa kwaya yetu utuombee } *2

  2. Kwa kufuata mfano wako, tueneze injili bila ubanguzi
  3. Tuombee mtume Paulo, tuilinde imani Katoliki tuliyoirithi
  4. Tumtangaze Yesu Kristu, kwa wasioamini wapate kuokoka
  5. Tuombee Mtume Paulo, ili tuzifuate nyayo zako tuwe watakatifu