Mtakatifu Paulo

Mtakatifu Paulo
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
CategoryWatakatifu
ComposerRenatus Rwelamira
Musical Notes
MusickeyA Major

Mtakatifu Paulo Lyrics

{ Mtakatifu Paulo, mtume somo wetu
Msimamizi wa kwaya yetu utuombee } *2


1. Kwa kufuata mfano wako, tueneze injili bila ubanguzi

2. Tuombee mtume Paulo, tuilinde imani Katoliki tuliyoirithi

3. Tumtangaze Yesu Kristu, kwa wasioamini wapate kuokoka

4. Tuombee Mtume Paulo, ili tuzifuate nyayo zako tuwe watakatifu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442