Utukufu ni Wako

Utukufu ni Wako
Performed by-
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerM. B. Syote
Views5,985

Utukufu ni Wako Lyrics

  1. { Utukufu ni wako na fahari Kristu
    Daima hata milele Kristu Mungu wetu } *2

  2. Mbingu mali yako, nchi nayo ni yako, Yesu Mungu wetu
  3. Mataifa yote uliyoyafanya, wakusujudie
  4. Na kwa haki yako na ukuu wako, wewe watukuzwa
  5. Kweli Yesu njia na ukweli na uzima, tumwendee nani