Utukufu ni Wako

Utukufu ni Wako
Choir-
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerM. B. Syote
SourceTanzania
Musical Notes
Timesignature4 4
MusickeyB Flat Major
NotesOpen PDF

Utukufu ni Wako Lyrics

{ Utukufu ni wako na fahari Kristu
Daima hata milele Kristu Mungu wetu } *21. Mbingu mali yako, nchi nayo ni yako, Yesu Mungu wetu

2. Mataifa yote uliyoyafanya, wakusujudie

3. Na kwa haki yako na ukuu wako, wewe watukuzwa

4. Kweli Yesu njia na ukweli na uzima, tumwendee nani

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442