Bustanini Getsameni
| Bustanini Getsameni | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Composer | P. F. Msasa |
| Views | 5,664 |
Bustanini Getsameni Lyrics
- Bustanini Getsameni, Yesu akaanguka kifudifudi, akaomba
{ Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke
Lakini si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe} *2 - Akawachukua na wale wana wawili wa Zebedayo
Akaanza kuhuzunika na kusononeka - Roho yangu ina huzuni, roho yangu ina huzuni
Roho yangu ina huzuni, kiasi cha kufa