Hii ni Kwaresma

Hii ni Kwaresma
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views5,779

Hii ni Kwaresma Lyrics

  1. Hii ni kwaresma, hii ni kwaresma, mwanadamu ukumbuke *2
    { Ndio wakati wa kuacha dhambi
    Ndio wakati wa kuacha maovu
    Ndio wakati wa kufunga na kutoa sadaka, kwa maskini } *2

  2. Rarueni mioyo yenu, wala sio mavazi
  3. Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote
    Kwa kufunga, na kwa kulia na kwa kuomboleza