Kabila Langu
Kabila Langu | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
Composer | Fr. G. F. Kayeta |
Views | 8,780 |
Kabila Langu Lyrics
{ Kabila langu nimekutenda nini
Au nimekusikitisha nini, nijibu, nijibu } *2- Kwa kuwa nimekutoa katika nchi ya Misri
Umemtayarishia mkombozi wako msalaba - Kwa kuwa nimekuongoza jangwani kwa miaka arobaini
Umemtayarishia mkombozi wako msalaba - Ilinipasa kukutendea nini zaidi nisikutendee
Kweli nimekupenda kama shamba langu nzuri sana - Mimi nimewapiga Wamisri kwa ajili yako,
Nawe ukanitoa nipigwe mijeredi. - Mimi nimekutoa Misri, nikamtoa Farao katika bahari ya Sham,
Nawe ukanitoa kwa makuhani wakuu.