Kristu Amekuwa Mtii
| Kristu Amekuwa Mtii | |
|---|---|
| Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Composer | A Muyonga |
| Views | 4,294 |
Kristu Amekuwa Mtii Lyrics
{ Kristu amekuwa mtii kwa ajili yetu, mpaka kufa,
Hata kufa msalabani, hata kufa msalabani } *2- Kristu alijinyenyekeza, akawa mtii hata mauti
Naam mauti ya msalaba - Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno,
Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina - Ninyi mnaomcha Bwana msifuni
Enyi wote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni