Maisha ni Safari
| Maisha ni Safari | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Composer | Fr. Aloyce Msigwa |
| Views | 9,336 |
Maisha ni Safari Lyrics
{Maisha ni safari,
Na mwisho wa safari, popote pale } * 2- { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
Ndani ya maji mwisho, popote pale } * 2 - { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
Ndani ya gari mwisho, popote pale } * 2 - { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
Ndani ya nyumba mwisho, popote pale } * 2 - { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
Pale mlimani mwisho, popote pale } * 2