Mwanadamu Kumbuka
| Mwanadamu Kumbuka | |
|---|---|
| Performed by | Mtoni Choir |
| Album | Mtazame Mkombozi Msalabani |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Composer | Deo Kalolela |
| Views | 16,332 |
Mwanadamu Kumbuka Lyrics
Mwanadamu kumbuka u mavumbi wewe
Na mavumbini utarudi- Ardhi imeelaaniwa kwa ajili yako
Kwa uchungu takula mazao yake - Michongoma na miiba itakuzalia
Nawe utakula mboga za bondeni - Kwa jasho la uso wako utakula
Hata utakapoirudia ardhi - Kwa maana wewe u mavumbi
Na mavumbini utarudi