Yesu Usinichoke

Yesu Usinichoke
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerBernard Mukasa
Views2,374

Yesu Usinichoke Lyrics

  1. Yesu, Yesu, usinichoke, niguse tena

  2. Najutia kurudia uliyokwisha nisamehe, na kuninusuru
  3. Ninajua sistahili kurudi tena mbele yako, nimezidi sana
  4. Hata hivyo nifanyeje nafsi yangu yaangamia Yesu mwema njoo
  5. Ikumbuke huruma yako takatifu na ya milele isiyo idadi