Aleluya Kuu
Aleluya Kuu Lyrics
- Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, ale-luya *2
{ Amefufuka alivyosema,
aleluya, aleluya, aleluya, aleluya } *2
- Amefufuka alivyosema, aleluya aleluya . . . * s/a/t/b
- Siku hii ya Bwana, tukufu,
Tuifurahie na tuishangilie
- { Kristu amefufuka ni kweli ni kweli ni kweli . . .
Kristu amefufuka, ni kweli, ni kweli,
Aleluya aleluya . . . } * [s/a/t/b]
- Amefufuka kaburini, Kristu kafufuka
Aleluya, aleluya . . .
Amefufuka alivyosema
Bwana mfalme mkuu
Aleluya aleluya . . .
- Amefufuka kweli kweli Bwana mfalme mkuu
Aleluya aleluya . . .