Ikiwa Twaamini

Ikiwa Twaamini
ChoirSt. Monica Sinza
CategoryPasaka (Easter)
ComposerS. B. Mutta
Musical Notes
Timesignature4/4
MusickeyE Major
NotesOpen PDF

Ikiwa Twaamini Lyrics

{ Ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa na kufufuka
Vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu
Mungu atawaleta pamoja naye } *21. Ndugu hatutaki mzijue habari zao waliolala mauti
Msije mkahuzunika kama wengine wasio na matumaini

2. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana
Kwamba sisi tulio hai tutakaosalia
Hata wakati wa kuja kwake Bwana
Hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti

3. Kwa sababu Bwana Mwenyezi atashusha kutoka mbinguni
Pamoja na mwaliko na sauti ya malaika mkuu
Na parapanda ya Mungu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442