Sikilizeni Malaika
| Sikilizeni Malaika | |
|---|---|
| Performed by | St. Monica Sinza |
| Album | Ni Siku Njema Leo |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Composer | Stanslaus Mujwahuki |
| Views | 5,406 |
Sikilizeni Malaika Lyrics
Sikilizeni sikilizeni malaika wa Mbingu
Wanaimba kwa furaha aleluya kwa furaha aleluya
{ Na sisi tuimbe aleluya aleluya *2
Tushangilie ufufuko wake Bwana } *2- Kuwa uzima aliyekufa, amefufuka
Uzima umeshinda mauti - Twajua Kristu amefufuka, mfalme mshindaji
Kweli milele hata milele - Mchunga kondoo ametukomboa
Kondoo wake ametupatanisha na Baba - Mwanakondoo asiye na dhambi, ndiye Mwokozi
Mfalme wa Mbingu na dunia yote
Recorded by
* St. Cecilia Arusha (Bwana Kafufuka album)
*St. Monica Sinza Dar-es-Salaam (Ni Siku Njema album)