Uje Roho Mfariji
| Uje Roho Mfariji | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
| Composer | M. B. Syote |
| Views | 8,660 |
Uje Roho Mfariji Lyrics
{ Uje Roho mfariji, shusha kwetu mapaji yako
Roho Mungu njoo } *2- Tushushie hekima tukupende daima
Tujalie akili, tufahamu imani, Roho Mungu njoo - Tujalie shauri, tuchague vizuri
Nguvu iwe tayari, tushindane hodari, Roho Mungu njoo - Utujaze elimu, mafundisho tuelewe
Tuwashie ibada, na uchaji wa Mungu, Roho Mungu njoo
Recorded by St. Don Bosco Choir, St. Theresa Arusha Cathedral