Login | Register

Sauti za Kuimba

JIna Maria Lyrics

JINA MARIA

@ Fr. G. F. Kayeta

 1. Jina Maria, jina tukufu lafurahisha latutuliza
  { Hata malaika wanaliimbia,
  Ave ave Maria, Ave ave Maria } *2
 2. Jina Maria, jina tukufu, latuletea neema ya Mungu
  { Nao malaika wanaliimbia,
  Ave ave Maria, Ave ave Maria } *2
 3. Jina Maria, jina tukufu, lawafukuza pepo wabaya
  { Nasi kwa furaha, tunalisifu
  Ave ave Maria, Ave ave Maria } *2
 4. Jina Maria, jina tukufu, lawapendeza watakatifu
  { Nao milele, wanalisifu,
  Ave ave Maria, Ave ave Maria } *2
JIna Maria
COMPOSERFr. G. F. Kayeta
CATEGORYBikira Maria


Recorded also by GLorious Singers Tanzania
 • Comments