Tufurahi Sote Katika Bwana
Tufurahi Sote Katika Bwana | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Category | Bikira Maria |
Composer | P. F. Mwarabu |
Tufurahi Sote Katika Bwana Lyrics
{ Tufurahi sote katika Bwana,
Tunapoadhimisha siku kuu
Kwa heshima ya bikira Maria } *2
-
Malaika wanafurahia kupalizwa kwake mbinguni
Na wanamsifu mwana wa Mungu aleluya -
Bwana amewafunulia mataifa wokovu wake
Ameidhihirisha haki yake aleluya -
Atukuzwe Baba na mwana na Roho Mtakatifu
Kama mwanzo sasa na siku zote