Anakuja Mwenye Wnzi
| Anakuja Mwenye Wnzi | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Majilio (Advent) |
| Composer | F. A. Nyundo |
| Views | 9,700 |
Anakuja Mwenye Wnzi Lyrics
- Anakuja mwenye enzi Bwana mfalme
Wanadamu kutukomboa
Anakuja kututoa utumwani
Wanadamu kutukomboa{ Bwana mfalme, anakuja kwetu
Anakuja anakuja anakuja kwetu } *2 - Anakuja andaeni njia yake
Tayarisha mapito yake
Nasi kweli tukamlaki ndiye mkuu
Ni mwanga wetu duniani - Anakuja kwa ajili yetu sisi
Anatuletea wokovu
Ni masiha hivyo nasi tumngojee
Tumaini la wanadamu