Malaika Gabrieli

Malaika Gabrieli
ChoirSt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumNakupenda Maria
CategoryMajilio (Advent)
ComposerJ. D. Mkomagu

Malaika Gabrieli Lyrics

Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu
Kwenda kmpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti
Kwa mwanamwali bikira *3
Aliyekuwa ameposwa na Yusufu na Yusufu wa ukoo wa Daudi
Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamu

Akaingia nyumbani mwake akasema,
"Salamu Maria umejaa neema
Salamu Maria, Bwana yu nawe
Umebarikiwa kuliko wanawake wote
Na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa"

  1. Tazama utachukua mimba utazaa mwana
    Utamwita jina Yesu
  2. Na huyo atakuwa mtukufu ataitwa mwana
    Wa yule aliye juuu