Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani
| Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani | |
|---|---|
| Performed by | St. Cecilia Kajiado |
| Album | Imani Kipimo |
| Category | Majilio (Advent) |
| Composer | M. Lungwa |
| Views | 8,417 |
Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani Lyrics
Sauti ya mtu aliaye nyikani
Itengenezeni njia ya Bwana
Yanyoosheni mapito (yake) mapito yake
Yanyoosheni mapito yake- Palipo na bonde na pavukiwe
Na palipo na milima pasawazishwe - Na wenye mwili watauona
Watauona wokovu wa Mungu wetu - Palipo na giza nuru itawale
Palipo na chuki pawe na upendo - Tuungame dhambi zinazotusonga
Ajapo Mwokozi sote tuwe safi