Na Utukufu wa Bwana

Na Utukufu wa Bwana
Performed byMoyo Mtakatifu wa Yesu Singida
AlbumUtukufu wa Bwana
CategoryEpiphany
ComposerG. F. Handel
Views3,118

Na Utukufu wa Bwana Lyrics

  • Na utukufu wa Bwana, na utukufu wa Bwana
    Utafunuliwa, utafufuniliwa, utafunuliwa, utafunuliwa .
    Na utukufu wa Bwana, na utukufu wa Bwana
    Utafunuliwa, utafufuniliwa, utafunuliwa, utafunuliwa
  • Na utukufu wa Bwana, utafunuliwa
  • Na wote wenye mwili watauona
    Na wote wenye mwili watauona
  • Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena haya
    Na wote wenye mwili watauona . . .