Twawatakia Krismas Krismas Njema

Twawatakia Krismas Krismas Njema
Performed by-
CategoryNoeli (Christmas Carols)
Composer(traditional)
Views4,547

Twawatakia Krismas Krismas Njema Lyrics

  1. Twawatakia Krismas njema
    Twawatakia Krismas njema
    Twawatakia Krismas njema
    Na heri ya mwaka mpya

    Twawaletea habari njema, wewe na ndugu zako
    Twawatakia Krismas njema na heri ya mwaka mpya

  2. Amani itawale
    Amani itawale
    Amani itawale
    Katika nchi yetu
  3. Sote twaipenda amani
    Sote twaipenda amani
    Sote twaipenda amani
    Tuombee amani
  4. Watu wote wa nchi yetu
    Watu wote wewe yule
    Watu wote ulimwenguni
    Tuombee amani