Nimekukimbilia Wewe Bwana
Nimekukimbilia Wewe Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
Views | 10,419 |
Nimekukimbilia Wewe Bwana Lyrics
Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele
Ee Baba mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu * 2- Umenikomboa ee Bwana Mungu wa kweli
Ee Baba mikononi mwako naiweka Roho yangu - Kwa sababu ya watesi wangu nimekuwa laumu
Naam hasa kwa jirani zangu - Na kitu cha kutisha kwa rafiki zangu
Walioniona njiani walinikimbia - Nimesahauliwa kama mtu asiyekumbukwa
Nimekuwa kama chombo kilichovunjika - Maana nimesikia masingizio ya wengi
Hofu ziko pande zote