Amani Itawale
Amani Itawale | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Asifiwe Bwana Mungu (Vol 8) |
Category | Peace |
Composer | Lucas Mlingi |
Views | 4,186 |
Amani Itawale Lyrics
Mungu tunaomba amani, hapa Kenya
Tupe umoja upendo, mapatano
{ Amani itawale kwa watu wote (pia)
Itawale Kenya amani tawala
katika nchi yetu nzuri } *2
{ Tuwe na upendo kwa watoto, kwa kina mama,
Kwa wazee wote,
na kwa vijana wote nguvu ya taifa } *2- Ee Mungu Baba, twaomba amani
Linda viongozi, wajalie afya - Ufukuze njaa, magonjwa na vifo
Utawale pote milele amina