Tunakimbilia Ulinzi Wako

Tunakimbilia Ulinzi Wako
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumAsifiwe Bwana Mungu (Vol 8)
CategoryBikira Maria
ComposerFuraha N. Mbughi
Views7,394

Tunakimbilia Ulinzi Wako Lyrics

  1. {Tunakimbilia - ulinzi wako, Mzazi Mtakatifu wa Mungu
    Usitunyime tukiomba katika shida zetu } *2
    { Utuopoe (siku zote) kila tuingiapo hatarini
    Ewe Bikira mtukufu mwenye Baraka } *2

  2. Mama wa Mungu, ewe Bikira Maria,
    Utuombee kwa mwanao Yesu
  3. Mama wa Mungu, sisi twakukimbilia
    Usitunyime kila tuombapo
  4. Mama wa Mungu, Mama usiye na doa
    Utuombee kwa mwanao Yesu