Tunakimbilia Ulinzi Wako
| Tunakimbilia Ulinzi Wako | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Asifiwe Bwana Mungu (Vol 8) |
| Category | Bikira Maria |
| Composer | Furaha N. Mbughi |
| Views | 8,890 |
Tunakimbilia Ulinzi Wako Lyrics
{Tunakimbilia - ulinzi wako, Mzazi Mtakatifu wa Mungu
Usitunyime tukiomba katika shida zetu } *2
{ Utuopoe (siku zote) kila tuingiapo hatarini
Ewe Bikira mtukufu mwenye Baraka } *2- Mama wa Mungu, ewe Bikira Maria,
Utuombee kwa mwanao Yesu - Mama wa Mungu, sisi twakukimbilia
Usitunyime kila tuombapo - Mama wa Mungu, Mama usiye na doa
Utuombee kwa mwanao Yesu