Tumshukuru Mungu
| Tumshukuru Mungu | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Asifiwe Bwana Mungu (Vol 8) |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Composer | Fortune Shimanyi |
| Views | 6,880 |
Tumshukuru Mungu Lyrics
- Tumshukuru Mungu kwa ukarimu wa-ke (pia)
Pia na wema wake kutupenda namna hii{ Nitazame - nitazame mimi (kisha ) nawe jitazame } *2
(waweza) kuwa umeo-na (kama) tuko tofauti sura
Nna hata matendo ( yetu) ni tofauti kweli
Lakini Mungu wetu - wala habagui
Anatupenda sote - ni vyema kumshukuru - Matendo yake hayachunguziki, Mungu wetu (kweli)
Kweli hatupaswi kuyachunguza mambo haya - Mawazo yetu sisi yana upeo wake (wala)
Hatuwezi kujua siri za Mungu wetu - Twapaswa kushukuru kwa vyote tulivyo navyo
Kwani kila kitu tumepewa na Mungu pekee