Asifiwe Bwana Mungu
Asifiwe Bwana Mungu | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Asifiwe Bwana Mungu (Vol 8) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | F. S. Matemele |
Views | 7,076 |
Asifiwe Bwana Mungu Lyrics
{ Asifiwe Bwana Mungu aliyeumba mbingu na nchi (na nchi)
Asifiwe katika patakatifu ( pake)
Enzi na utawala wake (wa milele)
Asifiwe kwa matendo (matendo) yake makuu} *2
{ Kageuza bahari kuwa nchi kavu
( na pia) ametoa maji - kwenye mwamba
(Na tena) amewalisha watu - kwa mana kama Mungu } *2
{ Asifiwe yeye kwa matendo yake (hayo) makuu } *2- Asifiwe, Yeye kwa kuwa, ni Bwana wa nguvu,
Na hodari hodari wa vita, nguvu zake zapasua milima
{ Asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana)
Milele (milele) milele (milele)
Milele (milele) milele (milele)
Asifiwe Bwana na nguvu zake (tumpe)
Sifa na heshima ni vyake (ee mfalme) hata milele } *2 - Asifiwe yeye kwa kuwa ni Bwana wa mabwana
Na mfalme mfalme wa wafalme,na mamlaka zatawaliwa naye
{ Asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana)
Milele (milele) milele (milele)
Milele (milele) milele (milele)
Asifiwe Bwana na nguvu zake (tumpe)
Sifa na heshima ni vyake (ee mfalme) hata milele } *2 - Asifiwe Yeye kwa kuwa ni mume wa wajane,
Na Baba wa walio yatima, upendo wake hauna mipaka
{ Asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana)
Milele (milele) milele (milele)
Milele (milele) milele (milele)
Asifiwe Bwana na nguvu zake (tumpe)
Sifa na heshima ni vyake (ee mfalme) hata milele } *2
edited by John Kasindi (JOKA)