Login | Register

Sauti za Kuimba

I Love You Lyrics

I LOVE YOU

@ Andrew Malagho

 1. Siku tuliyoingoja mimi na wewe,
  Kwa uwezo wake mungu leo imefika,

  Popote uendapo tutakuwa pamoja
  {Mungu ametuunganisha mimi nawe,
  nasi wawili tena ni mwili mmoja,
  wewe ni wangu kweli
  na mimi ni wako njoo,
  I love you mpenzi wangu
  I need you siku zote I love you) *2

 2. Kwa maombezi yake mama yetu maria,
  Ahadi yetu sasa kweli imetimia,
 3. Chaguo la moyo wangu mimi nakupenda,
  Tulizo la moyo wangu njoo karibu yangu,
 4. Nimekuchagua wewe wangu wa maisha,
  Agizo la moyo wangu njo tujitulize,
 5. Mpenzi wangu nakupenda nawe unipende,
  Kwa penzi la raha na karaha tupendane,
I Love You
COMPOSERAndrew Malagho
CHOIRSt. Cecilia Mgange Nyika
CATEGORYHarusi
MUSIC KEYKey C
TIME SIGNATURE2/4
SOURCECoast, Kenya
 • Comments