Tumpe Sifa
| Tumpe Sifa | |
|---|---|
| Performed by | St. Thomas More Mzumbe University |
| Album | Tumpe Sifa |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Composer | Musa Mabogo |
| Views | 4,396 |
Tumpe Sifa Lyrics
- Mungu katuumba na viungo mbalimbali
Akavipatia kila kimoja na kazi yakeTumpe sifa... Mungu wetu
- Akatupatia na miguu tutembee
Twende sehemu mbalimbali tupate mahitaji yetu - Akatupatia ulimi tuitambue
Ladha ya chakula kama ni kitamu au kichungu - Akatupatia kizazi tuzaliane
Tuongezeke maradufu tuujaze ulimwengu