Tumpe Sifa

Tumpe Sifa
ChoirSt. Thomas More Mzumbe University
AlbumTumpe Sifa
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerMusa Mabogo

Tumpe Sifa Lyrics

 1. Mungu katuumba na viungo mbalimbali
  Akavipatia kila kimoja na kazi yake

  Tumpe sifa... Mungu wetu

 2. Akatupatia na miguu tutembee
  Twende sehemu mbalimbali tupate mahitaji yetu
 3. Akatupatia ulimi tuitambue
  Ladha ya chakula kama ni kitamu au kichungu
 4. Akatupatia kizazi tuzaliane
  Tuongezeke maradufu tuujaze ulimwengu