Nalisema Nitayakiri

Nalisema Nitayakiri
Performed bySt. Kizito Makuburi
AlbumMimina Neema
CategoryZaburi
ComposerB. Mapalala
Views14,289

Nalisema Nitayakiri Lyrics

  1. { Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana
    (Nawe) Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi zangu } *2

  2. Heri aliyesamehewa dhambi,
    Na kusitiriwa makosa yake
    Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,
    Ambaye rohoni mwake hamna hila
  3. Ndiwe sitara yangu,
    Utanihifadhi na mateso
    Utanizungusha, nyimbo za wokovu
  4. Nalikujulisha dhambi yangu,
    Wala sikuuficha upotovu wangu