Baba Yetu - Mt. Gregory
Baba Yetu - Mt. Gregory | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Misa (Sung Mass) |
Views | 3,607 |
Baba Yetu - Mt. Gregory Lyrics
Baba yetu wa mbinguni,jina lako litukuzwe,
`falme wako na ufike, utakalo lifanyike x2.- Duniani kama mbinguni u-tupe leo mkate wetu
m-kate wetu wa kila siku (Baba) - Tusamehe makosa yetu (Baba) kama vile twawasamehe
(wale) waliotukosea sisi (Baba) - Situtie majaribuni (Baba) walakini utuopoe
(kweli) maovuni utuopoe (Baba). - Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba) pia nguvu na utukufu
(kweli) utukufu hata milele (Baba).