Baba Yetu - Mt. Gregory Lyrics

BABA YETU - MT. GREGORY

Baba yetu wa mbinguni,jina lako litukuzwe,
`falme wako na ufike, utakalo lifanyike x2.

 1. Duniani kama mbinguni u-tupe leo mkate wetu
  m-kate wetu wa kila siku (Baba)
 2. Tusamehe makosa yetu (Baba) kama vile twawasamehe
  (wale) waliotukosea sisi (Baba)
 3. Situtie majaribuni (Baba) walakini utuopoe
  (kweli) maovuni utuopoe (Baba).
 4. Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba) pia nguvu na utukufu
  (kweli) utukufu hata milele (Baba).
Baba Yetu - Mt. Gregory
CATEGORYMisa (Sung Mass)
 • Comments