Kitoto cha Mbingu

Kitoto cha Mbingu
Performed byKwaya ya Mt. Yuda Thadei Mbeya
AlbumKitoto cha Mbingu
CategoryNoeli (Christmas Carols)
ComposerCredo Mbogoye
Views8,253

Kitoto cha Mbingu Lyrics

KITOTO CHA MBINGU

  1. Lala kitoto cha Mbingu *4
    {Sinzia (kitoto) sinzia
    Malaika wa mbingu atakutunzia (atakutunzia) } *2

  2. Lala kitoto cha Mbingu
    Sinzia kitoto cha mbingu
    Lala Mwana wa Mungu
  3. Maria naye Yosefu
    Wanamtunza kitoto
    Lala Mwana wa Mungu
  4. Lala kitoto cha mbingu
    Uliye mkombozi wetu
    Lala Mwana wa Mungu
  5. Lala kitoto cha mbingu
    Masiha mkombozi wetu
    Lala Mwana wa Mungu