Misa Matilda
Misa Matilda Lyrics
BWANA UTUHURUMIE - MISA MATILDA
- Bwana utuhurumie Bwana, Bwana,
Bwana utuhurumie, Bwana, Bwana utuhurumie
Bwana, Bwana utuhurumie
- Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie
Kristu utuhurumie
- Bwana . . .
UTUKUFU KWA MUNGU JUU - MISA MATILDA
- { Utukufu kwa Mungu juu, utukufu kwa Mungu juu
Utukufu kwa Mungu juu, kwa Mungu juu mbinguni } *2
{ Na amani duniani (amani) na amani duniani
Na amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema } *2
- Tunakusifu - tunakuheshimu,
Tunakuabudu iyo iyo tunakutukuza tunakushukuru
- Kwa ajili kwa ajili ya utukufu
Utukufu utukufu wako mkuu
- Ee Bwana Mungu mfalme wa mbinguni
Mungu Baba mwenyezi mwenyezi
- Ee Bwana Yesu, Bwana Yesu Kristu
Mwana wa pekee wa Mungu
- Ee Mwana Mungu, Mwanakondoo wa Mungu wa Mungu
Mwana Mwana wa Baba wa Baba
- Mwenye kuondoa dhambi, za dunia utuhurumie
Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia, pokea ombi letu
- Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie
Kwa Baba utuhurumie
- Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako mtakatifu *2
Peke yako Bwana (Bwana) peke yako mkuu
Peke yako mkuu Yesu Kristu
Pamoja na roho, pamoja na roho mtakatifu
katika utukufu - Utukufu wa Mungu baba amina
- Amina ....
ALELUYA - MISA MATILDA
- Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya
(Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya) x 2
- Siwaiti tena watumwa kwa maana mtumwa hajui
hajui atendalo Bwana wake atendalo Bwana wake.
- Lakini ninyi nimewaita rafiki kwa kuwa yote
niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu nimewaarifu Aleluya
MTAKATIFU - MISA MATILDA
- { Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Mtakatifu,
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi } *2
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako
- Hosanna, hosanna hosanna juu Mbinguni hosanna juu
- Hosanna, hosanna hosanna juu Mbinguni mbinguni
- [s] Mbarikiwa mwenye kuja, kwa jina -
Mbarikiwa mwenye kuja kwa jina
Mwenye kuja kwa jina la Bwana, la Bwana
Mwenye kuja kwa jina la Bwana, hosanna
- [ b] Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
[w] Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
Hosanna hosanna, hosanna, hosanna, hosanna
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni (hosanna)
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni (hosanna Mbinguni)
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni
MWANAKONDOO - MISA MATILDA
- Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,
uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
- Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,
uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
- Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,
utujalie amani utujalie utujalie amani utujalie tujalie amani