Bwana Unibadili
Bwana Unibadili | |
---|---|
Performed by | St. Maria Goreth |
Category | General |
Composer | Musa Mabogo |
Views | 16,514 |
Bwana Unibadili Lyrics
- Mimi nimekuwa mtu mwenye tamaa nyingi
Ninatamani kila kitu kizuri duniani
{ Bwana unibadili, niyaache yote
Bwana unibadili nikufuate wewe } *2 milele - Bwana ninakuomba unipatie msimamo
Nisimame upande wako, milele milele - Bwana yabadili matendo yangu nitendayo
Nitendayo yawe yakupendezayo wewe - Bwana zibadili njia zangu nipitiazo
Nipitie katika njia zako ee Mungu wangu