Bwana Unibadili

Bwana Unibadili
Performed bySt. Maria Goreth
CategoryGeneral
ComposerMusa Mabogo
Views13,965

Bwana Unibadili Lyrics

  1. Mimi nimekuwa mtu mwenye tamaa nyingi
    Ninatamani kila kitu kizuri duniani

    { Bwana unibadili, niyaache yote
    Bwana unibadili nikufuate wewe } *2 milele
  2. Bwana ninakuomba unipatie msimamo
    Nisimame upande wako, milele milele
  3. Bwana yabadili matendo yangu nitendayo
    Nitendayo yawe yakupendezayo wewe
  4. Bwana zibadili njia zangu nipitiazo
    Nipitie katika njia zako ee Mungu wangu