Kaburini Hayumo
| Kaburini Hayumo | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Mt. Yuda Thadei Mbeya |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Composer | Perfecto Mtuka |
| Views | 10,720 |
Kaburini Hayumo Lyrics
- Kaburini hayumo (tena) amefufuka
Tufurahi sote (Bwana) amefufuka
{ Furahini na kuimba kwa shangwe ni raha
Mwokozi wetu leo kafufuka ni raha } *2
Ni raha kafufuka aleluya - Tumshangilie Mwokozi wetu
Yesu Kristo mfufuka kweli, leo amefufuka
Kaburi liko wazi (kweli Bwana) hayumo tena - Asubuhi mapema ametoka
Bwana Yesu mzima uzima ametupatia - Kwa ufufuko wake Bwana Yesu
Tumekombolewa kakata kamba za mauti