Kaburini Hayumo

Kaburini Hayumo
ChoirKwaya ya Mt. Yuda Thadei Mbeya
CategoryPasaka (Easter)
ComposerPerfecto Mtuka
Musical Notes
Time Signature6
16
Music KeyD

Kaburini Hayumo Lyrics

Kaburini hayumo (tena) amefufuka
Tufurahi sote (Bwana) amefufuka

{ Furahini na kuimba kwa shangwe ni raha
Mwokozi wetu leo kafufuka ni raha } *2
Ni raha kafufuka aleluya

 1. Tumshangilie Mwokozi wetu
  Yesu Kristo mfufuka kweli, leo amefufuka
  Kaburi liko wazi (kweli Bwana) hayumo tena
 2. Asubuhi mapema ametoka
  Bwana Yesu mzima uzima ametupatia
 3. Kwa ufufuko wake Bwana Yesu
  Tumekombolewa kakata kamba za mauti

Favorite Catholic Skiza Tunes