Wachungaji Wakaenda kwa Haraka
Wachungaji Wakaenda kwa Haraka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Composer | Stanslaus Mujwahuki |
Video | Watch on YouTube |
Views | 3,621 |
Wachungaji Wakaenda kwa Haraka Lyrics
Wachungaji wakaenda kwa haraka
wakamkuta Maria na Yosefu (na yule)
Mtoto mchanga amelala amelala horini- Malaika akawaambi, ninyi,
msiogope nawaletea habari njema - Ya furaha kuu itakayokuwa
kwa watu wote Mwokozi wenu amezaliwa - Katika mji wa Daudi, leo,
amezaliwa Mwokozi ndiye Kristu Bwana