Neno la Bwana
Neno la Bwana | |
---|---|
Performed by | Sauti Tamu Melodies |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | Deo Kalolela |
Video | Watch on YouTube |
Views | 12,977 |
Neno la Bwana Lyrics
- Neno la Bwana (neno)
Limekuja kwetu sisi
(Na tulipokee) kwa furaha kwa imani
Ndilo Neno lenye kutuletea wokovu - Neno la Bwana Yesu Kristu
Ni taa ya mioyo yetu
Kwa hivyo inatupasa tulipokee - Neno la Bwana Yesu Kristu
Ni njia ya wokovu wetu
Kwa hivyo inatupasa tulipokee - Neno la Bwana Yesu Kristu
Faraja ya watesekao
Kwa hivyo inatupasa tulipokee - Neno la Bwana Yesu Kristu
Tulizo kwa wagonjwa wote
Kwa hivyo inatupasa tulipokee