Beba Mikononi

Beba Mikononi
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumNitachezacheza
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerAlfred Ossonga

Beba Mikononi Lyrics

1. Tusimame ndugu twende kwake Bwana (kweli)
Usisite ndugu amka twende hima


Beba mikononi (mwako) uliyojaliwa
Peleka kwa Bwana, upate Baraka


2. Peleka kwa moyo, moyo wa mapendo (kweli)
Peleka kwa Bwana uliyojaliwa

3. Sadaka ya fedha, fedha za mifuko (ndugu)
Amka upeleke mezani kwa Bwana

4. Mavuno mifugo, ni mali ya Bwana (kweli)
Tupeleke kwake atazipokea

5. Mkate divai tupeleke kwake (leo)
Tupate baraka mbele zake Bwana

6. Twende ndugu twende, mbele zake Bwana (twende)
Tupeleke nafsi zetu kwake Bwana

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442