Bwana pokea sadaka
Bwana pokea sadaka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 6,904 |
Bwana pokea sadaka Lyrics
Bwana pokea sadaka tunayokutolea
Mkate divai na fedha ni mali yako- Bwana pokea mazao tunayokutolea
Ni tunda la jasho letu sisi wanao - Bwana pokea na fedha tunazokutolea
Ni tunda la kazi zetu tuzifanyazo - Bwana pokea vipaji, shukrani kwako wewe
Umetukomboa Bwana tuko maliyo - Nazo nyoyo zetu Baba uzipokee sasa
Nazo nafsi zetu zote twazitolea